[ad_1] Gavana apongeza hatua za kufufua sekta ya korosho NA KNA GAVANA wa Kwale, Bw Salim Mvurya, amesifu hatua zilizopigwa katika juhudi za kufufua kilimo cha...
[ad_1] Magavana mbioni kukamilisha miradi kabla ya kustaafu Na BARNABAS BII MAGAVANA kutoka North Rift wanaohudumu muhula wa pili, wanajizatiti kukamilisha miradi waliyoanzisha huku ikisalia miezi...
[ad_1] TAHARIRI: Polisi waangalie upya mishahara ya maafisa wao KITENGO cha UHARIRI IDARA ya polisi ni kikosi ambacho hutarajiwa kuwa na nidhamu. Maafisa wa polisi, sawa...
[ad_1] Wasomali 4 wanaswa UG Na DAILY MONITOR POLISI nchini Uganda wanazuilia raia wanne wa Somalia, kwa madai ya kupanga njama ya kulipua mkutano wa Rais...
[ad_1] KINYUA BIN KING’ORI: Matamshi ya Ruto kwa hakika yanaweza kumponza Mlimani uchaguzi wa 2022 Na KINYUA BIN KING’ORI MBINU mpya ya Naibu Rais, Dkt William...
[ad_1] KPA yavizia Equity na kuponyoka na ‘mali’ Na CHARLES ONGADI TIMU ya Vikapu ya akina dada ya KPA iliikomoa Equity kwa alama 71-35 katika mechi...
[ad_1] Wasimamizi wapya wa Ligi Kuu kuteuliwa leo Na JOHN ASHIHUNDU KAMATI Simamizi ya Soka inayoongozwa na Jaji Mstaafu Aaron Ringera, itakutana na viongozi wa klabu...
[ad_1] Man-United wamvizia Valverde kuwa kocha mshikilizi wanapozidi kumshawishi Pochettino Na MASHIRIKA MANCHESTER United wamemzungumzia kocha wa zamani wa Barcelona, Ernesto Valverde kuhusu uwezekano wa kudhibiti...
[ad_1] Asilimia 7 ya viwanda vimefufuka, idadi kubwa yasubiri 2023 – Ripoti NA MARY WANGARI Ni asilimia saba pekee ya biashara nchini ambazo zimeashiria “kufufuka” kwa...
[ad_1] Jamii yalia kitegauchumi kulemazwa Na KALUME KAZUNGU UFUGAJI wa nyuki miongoni mwa jamii ya Waboni, Kaunti ya Lamu huenda ukaangamia endapo mikakati haitachukuliwa kunusuru. Jamii...