[ad_1] Na WINNIE ONYANDO CHRISTINE Anyango, 24, amejitosa kwa kazi ya ujenzi ambayo kwa muda mrefu imeonekana kushabikiwa zaidi na wanaume. Lakini mkazi huyu wa Oyugis,...
[ad_1] Na FAITH NYAMAI KUNDI la ‘waasi’ limeibuka ndani ya Chama cha Walimu (Knut) na kile cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuoni (Kuppet) ambalo...
[ad_1] Na CHRIS ADUNGO MAISHA huisha. Kabla yaishe, yaishi yaishe. Usiishi kuisha. Maisha ni safari ambayo mwisho wake ni siri kubwa isiyojulikana kwa binadamu! Japo utajikwaa,...
[ad_1] Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya Lelwak (CHAKILE) kiliasisiwa mwaka huu na walimu wapenzi wa Kiswahili katika shule hiyo iliyoko...
[ad_1] Na GEOFFREY ANENE AARON Christopher Ramsdale ni mmoja wa makipa wanaojizolea umaarufu kwenye ulimwengu wa soka. Amejitokeza kuwa shujaa mpya kambini mwa Arsenal msimu huu...
[ad_1] Na GEOFFREY ANENE BINGWA mtetezi Sahib Omar alisherehekea kugonga umri wa miaka 35 kwa kushinda duru ya saba ya mashindano ya KCB Nanyuki Autocross katika...
[ad_1] Na SAMMY WAWERU MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya pembejeo ya Elgon Kenya, Dkt Bimal Kantaria amehimiza wananchi kujitokeza kupata chanjo ya virusi vya Corona. Dkt...
[ad_1] Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Jumatano iliwaagiza maafisa wa polisi nchini wamkamate mfanyabiashara raia wa Tanzania anayeishi nchini Uingereza anayesakwa kwa kula njama za kuifilisi benki...
[ad_1] Mtafiti akichukua sampuli ya maji katika Mto Okhchuchay ambao rangi yake imebadilika na kuwa ya manjano kutokana na kemikali. PICHA/ HISANI NA MASHIRIKA KAMPUNI mbili...
[ad_1] Na RICHARD MUNGUTI RAFIKIYE mfanyabiashara aliyeuawa kinyama katika eneo la Kilimani Nairobi alitembelewa na wanaume wawili usiku huo. Mmoja wa wanaume hao alisemekana kuwa “mlinzi...