[ad_1] Na GEOFFREY ANENE MKENYA Ferdinand Omurwa Omanyala alisherehekea rekodi mpya ya kitaifa ya mbio za mita 100 baada ya kutimka kwa sekunde 9.86 akishinda fainali...
[ad_1] Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa chama cha ODM, Raila Odinga, amewanasa washirika wapya baada ya vinara wa vyama vikuu vya kisiasa kuapa kwamba, hawatamuunga mkono...
[ad_1] Na ABDULRAHMAN SHERIFF BEACH Bay FC ya Mjanaheri, Kaunti ya Kilifi ni miongoni mwa timu ambazo zinaendelea kufanya vizuri kwenye Ligi ya Kitaifa Daraja la...
[ad_1] Na CHARLES WASONGA SENETA wa Kaunti ya Nandi Samson Cherargei amemlaumu Rais Uhuru Kenyatta na serikali kwa ujumla kufuatia kile anachotaja kama mapokezi duni ya...
[ad_1] Na MARY WANGARI TOM Kiragu, 40, alipoanzisha kampuni yake kwa jina Cleo Nature, takriban miaka mitano iliyopita, alichotaka tu ni kupata tiba kwa mwanawe aliyekuwa amehangaishwa...
[ad_1] Na PATRICK KILAVUKA KLABU ya Parklands Simba maarufu kama Simba United, inasherehekea mwaka mmoja tangu iasisiwe Agosti 2020. Uga wake wa nyumbani ni ule wa...
[ad_1] Na SAMMY KIMATU WANAFUNZI na wafanyakazi ni miongoni mwa watu wanaohangaika baada ya daraja moja kusombwa na maji katika Eneo la Viwanda, Kaunti ya Nairobi....
[ad_1] Na SAMMY WAWERU TUME ya Kitaifa ya Ardhi (NLC) imelalamika kwamba inapokea mgao wa chini kabisa wa fedha kutoka kwa serikali, ikisema hauwezi kuiwezesha kutekeleza...
[ad_1] Na MARGARET MAINA [email protected] WENGI wetu tunafahamu kuwa pilipili mboga ni kiungo cha mboga katika mapishi mbalimbali, lakini hatufahamu kwamba ni miongoni mwa mboga zenye...
[ad_1] Na LEONARD ONYANGO MIAKA saba tangu Abdirashid Bashir kuumwa na nyoka aina ya koboko (black mamba), hajawahi kupona licha ya kutumia Sh40, 000 katika matibabu....