[ad_1] Na DIANA MUTHEU MCHANGANYIKO wa mahindi yaliyopikwa pamoja na maharagwe au punje za kunde au mbaazi aghalabu huitwa pure lakini watu wengi nchini Kenya wanaita...
[ad_1] Na LAWRENCE ONGARO SIASA za Kaunti ya Kiambu zinaendelea kupamba moto huku viongozi wakizidi kurushiana cheche za maneno kuhusu hali ya maendeleo. Gavana wa Kiambu...
[ad_1] Na SAMMY WAWERU TANGU Kenya ianze kuwa na visa vya Covid-19, sekta mbalimbali zinazochangia ukuaji wa uchumi zimeathirika. Kuanzia ile ya biashara, utalii, uchukuzi, kilimo,...
[ad_1] Na DIANA MUTHEU [email protected] Muda: Saa 1 dakika 30 Walaji: 2 Vinavyohitajika viazi vitamu 3 (vipande vikubwa). kunde sufuria chumvi (sio lazima) maji Jinsi ya...
[ad_1] Na CHRIS ADUNGO KLABU ya Leeds United imepandishwa ngazi kushiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu ujao wa 2020-21 baada ya kukaa nje kwa kipindi...
[ad_1] Na DIANA MUTHEU Muda wa kutayarisha: Dakika 10 Muda wa kupakua: Baada ya dakika 30 Watu: 2 Vinavyohitajika parachichi 1 kitunguu 1 (wastani) kitunguu saumu...
[ad_1] Na MARGARET MAINA [email protected] NJEGERE huwa na virutubisho na nyuzinyuzi. Njegere huwa na vitamini kama vitamini A, K na C ambazo husaidia katika uboreshaji wa...
[ad_1] Na MISHI GONGO FAMILIA tatu katika Kaunti ya Kilifi zimeachwa bila makao baada ya upepo mkali kung’oa mapaa ya nyumba zao usiku wa kuamkia leo...
[ad_1] Na CHRIS ADUNGO LEICESTER City waliweka wazi azma ya kushiriki kipute cha Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu ujao baada ya kupokeza Sheffield United kichapo cha 2-0...
[ad_1] Na MARGARET MAINA [email protected] INAFAHAMIKA na kuaminika kuwa chakula kina virutubisho ambavyo pia husaidia kuimarisha kingamwili. Chakula ambacho umekila au unachotaka kukila leo ndicho kinachoamua...