[ad_1] Jalang’o ashinda tiketi ya ODM kuwania kiti cha ubunge Lang’ata Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA mtangazaji wa redio Jalang’o Phelix Odiwuor sasa ndiye atapeperusha bendera ya...
[ad_1] Waislamu Mlima Kenya watoa wito Wakenya wadumishe upendo na amani NA LAWRENCE ONGARO JAMII ya Waislamu kutoka Mlima Kenya imewahimiza Wakenya wadumishe amani hasa wakati...
[ad_1] Tottenham wapitwa na Arsenal baada ya kukabwa koo na Brentford ligini Na MASHIRIKA MATUMAINI ya Tottenham Hotspur kukamilisha kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)...
[ad_1] Ijumaa, Aprili 29 ni sikukuu ya mapumziko Kenya kwa heshima ya Kibaki – Matiang’i NA CHARLES WASONGA SERIKALI ya Kenya imetawaza Ijumaa, Aprili 29, 2022...
[ad_1] Usajili wa mitihani ya kitaifa 2022 kuanza Jumatano NA WINNIE ONYANDO USAJILI wa watahiniwa kwa Mitihani ya Kitaifa ya 2022 ya gredi ya sita, KCPE...
[ad_1] HUKU USWAHILINI: Kinundu mmoja anaharibia watu futari zao kwa mavamizi ya chakula NA SIZARINA HAMISI KAMA ilivyo sehemu nyingine ulimwenguni, huku kwetu Uswahili tupo katika...
[ad_1] Wanafunzi wa shule za mchana wang’aa NA MARY WANGARI WANAFUNZI wa shule za viwango vya kaunti ndogo waling’aa kwenye Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha...
[ad_1] MALEZI KIDIJITALI: Hofu kuhusu usalama ipo ila usinyime kabisa mtoto vifaabebe BAADHI ya wazazi wameamua kuwanyima kabisa watoto wao vifaabebe ili kuwaepusha na athari za...
[ad_1] BAHARI YA MAPENZI: Mpenzi wa zamani ni sawa na kiporo, hakiliki NA SIZARINA HAMISI KUPASHA viporo katika mapenzi ama ndoa ni jambo ambalo limekuwa linafanyika...
[ad_1] Kibaki kuzikwa Jumamosi NA CECIL ODONGO RAIS wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliyefariki Ijumaa, atazikwa Jumamosi ijayo nyumbani kwake Othaya, Kaunti ya Nyeri. Waziri...