[ad_1] Mbona Uhuru hampigii debe Raila Mlimani? NA CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amewaacha wakereketwa wa vuguvugu la Azimio la Umoja na maswali mengi kuhusu ni...
[ad_1] Jubilee yazidi kuvuna Mlimani NA WAANDISHI WETU CHAMA cha Jubilee kinaendelea kujiimarisha kwa kunasa wawaniaji kutoka vyama vinavyounga muungano wa Azimio La Umoja katika eneo...
[ad_1] Kadu-Asili yapata pigo kiongozi wake akihamia PAA NA MAUREEN ONGALA KIONGOZI wa Kadu-Asili Gerald Thoya amekihama chama hicho na kujiunga na kile cha Pamoja African...
[ad_1] Rais kukutana na wanabodaboda Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ameitetea serikali yake dhidi ya madai ya naibu wake, William Ruto, kwamba inawadhulumu wahudumu wa...
[ad_1] Jubilee yamteua Ngatia kupambana na Wanyonyi ugavana Nairobi NA WINNIE ONYANDO KINYANG’ANYIRO cha kiti cha ugavana jijini Nairobi huenda ikaongeza uhasama kati ya chama cha...
[ad_1] Waluke aruka Ruto, aingia Jubilee NA CECIL ODONGO CHAMA cha Jubilee kinaendelea kushuhudia ufufuo mkubwa na jana kilivuna baada ya mbunge wa Sirisia John Waluke...
[ad_1] NCIC yawinda Wakenya 51 wanaoeneza chuki WINNIE ONYANDO NA WACHIRA MWANGI TUME ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC), inachunguza watu 51 kwa kusambaza matamshi...
[ad_1] Njaa kuumiza Wakenya zaidi NA MARY WANGARI HALI ya ukame inayoshuhudiwa katika maeneo mengi nchini inatarajiwa kuendelea huku Wakenya zaidi ya milioni mbili wakihitaji msaada...
[ad_1] Kalonzo atoa masharti mapya kusalia Azimio NA PIUS MAUNDU WIKI moja baada ya Kalonzo Musyoka kuunga mkono azma ya urais ya kiongozi wa ODM Raila...
[ad_1] Jamleck Kamau kupeperusha bendera ya Jubilee ugavana Murang’a NA GATUNI WACHIRA CHAMA cha Jubilee kimempa mwaniaji wa ugavana katika Kaunti ya Murang’a Jamleck Kamau tiketi...