[ad_1] Wakazi waisifia serikali kwa kumwaga mamilioni kupanua daraja NA KALUME KAZUNGU WAKAZI wa Kaunti ya Lamu wameisifia serikali ya kaunti hiyo kwa kutenga mamilioni ya...
[ad_1] “Raila atapita hata bila kura za Mlima Kenya” NA CHARLES WASONGA NAIBU Mwenyekiti wa Jubilee David Murathe amewataka wakazi wa Mlima Kenya kuhakikisha kura zao...
[ad_1] Wito raia wavae maski wakisafiri NA ELIZABETH MERAB WIZARA ya Afya imeagiza Wakenya wote wanaosafiri katika magari ya umma, ndege na gari moshi waendelee kuvaa...
[ad_1] CHARLES WASONGA: Wakenya watumie mdahalo wa urais kuchuja wagombeaji wa urais Na CHARLES WASONGA UAMUZI wa asasi kuu katika sekta ya uanahabari wa kuandaa mdahalo...
[ad_1] Wazee Waluhya wamkosoa Ruto kudharau Uhuru NA BRIAN OJAMAA BARAZA la Wazee wa jamii ya Waluhya limemfokea Naibu Rais William Ruto kwa kumshambulia Rais Uhuru...
[ad_1] Laini za simu ambazo bado hazijasajiliwa kuzimwa Aprili NA KENYA NEWS AGENCY LAINI za simu ambazo hazijasajiliwa zitazimwa mwezi ujao, Mamlaka ya Mawasiliano nchini (CA)...
[ad_1] TAHARIRI: Serikali isiwe na huruma kwa wezi wa mitihani nchini NA MHARIRI SIKU ya Jumatatu jumla ya watahiniwa 831,015 wa kidato cha nne walianza mtihani...
[ad_1] Siri za ukora ndani ya mtaa wa Makutano ulioko kaunti ndogo ya Mbeere Kusini NA MWANGI MUIRURI KATIKA mtaa wa Makutano kuna mzunguko wa barabara...
[ad_1] Wanawake wapata pigo kuwania viti vikuu vya kisiasa Pwani LUCY MKANYIKA NA KALUME KAZUNGU MATUMAINI ya wanawake wengi kuwania ugavana Pwani katika uchaguzi ujao yameanza...
[ad_1] MAKALA MAALUM: Amekataa jinsia na ulemavu kuua ndoto yake ya udiwani NA KENYA NEWS AGENCY AJALI inapotokea, maisha ya mtu huweza kubadilika kwa namna ambayo...