[ad_1] Watu wawili wameangamia kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha malori mawili kwenye barabara ya Naivasha- Mai Mahiu. Miili ya madereva wawili wa trela na lori waliohusika...
[ad_1] Rais mpya wa Malawi Lazarus Chakwera amewarai wananchi kutoka dini mbali mbali kutangamana pamoja ili kuombea nchi kwa ajili ya janga la ugonjwa wa corona...
[ad_1] Afisi ya Mkuu wa Mashtaka Noordin Haji imeamuru kufutiliwa mbali kwa kesi ya mauaji dhidi ya Omar Lali Lali alikuwa mshukiwa mkuu katika mauaji ya...
[ad_1] – Slen anasemekana kupigwa na nguvu za umeme akiwa njiani akielekea kazini Jumapili, Juni 22 – Mkewe aliambia TUKO.co.ke kuwa msanii huyo alikanyaga waya ya...
[ad_1] – Kenya iliandikisha idadi kubwa ya wagonjwa 570 waliopata nafuu kwa siku moja mnamo Alhamisi, Julai 16 – Waziri Kagwe alisema wagonjwa 512 kati yao...
[ad_1] – Matilda Njoki alikabiliwa na tuhuma za kuvunja mlango wa mpangaji wake na kuiba mali yake kutokana na deni la kodi – Alikana mashtaka na...
[ad_1] Mtangazaji maarufu wa runinga ya KTN Marry Kilobi anasherehekea siku yake ya kuzaliwa hii leo Alhamisi, Julai 16 Mumewe ambaye ni katibu mkuu wa chama...
[ad_1] Afisa mmoja katika serikali ya kaunti ya Nairobi alifariki dunia Jumatatu, Julai 13 kutokana na virusi vya COVID-19 Nicholas Nkamasai alizikwa Jumatano, Julai 15 nyumbani...
[ad_1] Polisi kaunti ya Murang’a wamemkamata Naibu Chifu mmoja na kuanzisha msako dhidi ya mwenzake na polisi waliotoweka baada ya kudaiwa kumnajisi msichana wa shule. Watatu...
[ad_1] Kila siku ya wiki, TUKO.co.ke inakupakulia kwa mukhtasari matukio na habari muhimu zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ili ukapate kufahamu kwa upana na utendeti...