Connect with us

General News

Baya ajitetea kwa kuvumisha Jumwa – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Baya ajitetea kwa kuvumisha Jumwa – Taifa Leo

Baya ajitetea kwa kuvumisha Jumwa

NA MAUREEN ONGALA

MBUNGE wa Kilifi Kaskazini, Owen Baya, (pichani) amejitetea dhidi ya shutuma kwamba anampigia debe mwenzake wa Malindi, Bi Aisha Jumwa kwa ugavana Kilifi.

Akizungumza katika ukumbi wa kijamii Kibaoni, Bw Baya alidai wanaomkosoa humbagua Bi Jumwa kwa msingi wa kielimu.

“Vyuo vikuu huchukua wanafunzi wa alama za chini na kuwafunza hadi wapate digrii na uzamili, na watu aina hiyo hubobea kiuongozi,” akasema.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending