Connect with us

General News

Daktari Mkenya afariki dunia kutokana na virusi vya COVID-19

Published

on

[ad_1]

Daktari mmoja ambaye ametambulika kwa majina kama Doreen Adisa Lugaliki ameaga dunia kutokana na maradhi ya ugonjwa wa COVID-19

Adisa alikata roho Ijumaa, Julai 10 majira ya asubuhi na ameombolezwa na madaktari wenzake kwenye mitandao ya kijamii kuwa mtu mkarimu.

Kulingana na daktari Mercy Korir, Adisa alikuwa mwenye hekima na angewajibikia kazi yake bila kusukumwa wala kusimamiwa.

” Tumempoteza daktari aliyeonyesha bidii katika utendakazi wake kutokana na virusi vya COVID-19, Mola ailaze roho yake mahala pema,” Alisema daktari Korir.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending