“HABARI…!! Napenda kuwajulisha na kuwatoa hofu ndugu, jamaa na marafiki kuwa nimepata majibu ya vipimo na nimeonekana nikiwa na Corona Virus, kwa sasa nipo chini ya uwangalizi mzuri na afya yangu inaendelea vizuri, pia niishukuru serikali kwa maandalizi mazuri na huduma nayopata wodini, Kwenye kituo toka juzi nipo peke yangu kama nimekikodisha vile 😅, wahudumu wanaushirikiano mzuri Mungu awalinde na awape afya njema maana wamejitolea nafasi zao kutupatia huduma sisi waathirika, hili janga la kimataifa linakwepeka kama tutafuata ushauri nasaha kutoka kwenye Wizara husika, naomba kwa wote tuwe salama na familia zetu, tuchukue tahadhari mapema. Be Strong and Be Safe Everyone out there #AllahBlessUsAll”
The talent manager is currently isolated at one of the facilities in Daresalaam receiving treatment.
It is reported Salaam fell ill and started showing symptoms of the disease few days back after returning to Tanzania from Europe.