[ad_1]
Hofu ardhi ya ekari 9,000 imenyakuliwa
NA KNA
KAMISHNA wa Kaunti ya Lamu, Bw Irungu Macharia, amesema uchunguzi umeanzishwa kutatua mzozo wa ardhi ya ekari 9,000 inayopakana na bandari ya Lamu.
Hii ni baada ya wakazi takriban 460 kutoka eneo la Kiangwe kulalamika kuwa kuna watu 22 ambao wamedai wana hatimiliki za ardhi hiyo ya jamii.
Wakiongozwa na Bw Famau Nagi, walisema wameishi hapo kwa zaidi ya miaka 40.
[ad_2]
Source link