Connect with us

General News

Hospitali za Kanisa Katoliki zaanza mgomo – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Hospitali za Kanisa Katoliki zaanza mgomo – Taifa Leo

NHIF: Hospitali za Kanisa Katoliki zaanza mgomo

Na STEVE NJUGUNA

HOSPITALI zinazomilikiwa na kanisa Katoliki nchini zimelalamikia Hazina ya Kitaifa ya Matibabu (NHIF), kwa kutozilipa, baada ya kutibu waginjwa wanaotumia kadi za hazina hiyo.

Mwenyekiti wa Tume ya Kikatoliki ya Afya nchini, Askofu Joseph Mbatia, alisema kuwa hatua hiyo inazitatiza hospitali zilizo chini ya kanisa hilo, katika utoaji matibabu.

“Tunapotibu wateja wanaotumia kadi za NHIF, huwa tunatajrajia kulipwa olo tununue dawa kati ya mahitaji mengine. Kucheleweshewa malipo kunatuathiri,” akasema Askofu Mbatia.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending