Mwanahabari wa NMG aliyetemwa Sharon Barang’a. Picha: UGC Source: Instagram
Kampuni hiyo haikumuonea huruma kipusa huyo licha ya sauti yake yenye mvuto wala hali kuwa alimpoteza babake mzazi chini ya mwezi mmoja uliopita.
Kabla hata ya kumaliza kuomboleza kifo cha babake, NMG ilimrusha kwenye masikitiko mengine bila huruma.
“Nimepoteza kazi na babangu ndani ya mwezi mmoja …ni sawa tu. Navumilia tu. Asanteni nyote kwa juumbe za kunituliza,” alisema ripota huyo mwenye sauti tamu