[ad_1]
Linturi aishtaki Serikali kufuatia kukamatwa kwake
NA JOSEPH OPENDA
MAHAKAMA ya Nakuru imemruhusu Seneta wa Meru, Mithika Linturi, kuishtaki serikali kwa uharibifu uliofuatia kukamatwa kwake kutokana na matamshi ya “madoadoa”.
Mahakama ilimpa Bw Linturi ruhusa ya kuishtaki serikali, baada ya Hakimu Mkuu Mahakama ya Nakuru Bi Edna Nyaloti, kubatilisha uamuzi wa kumshtaki seneta huyo kwa madai ya uchochezi.
Next article
CHARLES WASONGA: Ni undumakuwili kwa wabunge wa UDA kutumia…
[ad_2]
Source link