Connect with us

General News

Madai ya uzinzi yatishia kuvunja ndoa ya Kaparo – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Madai ya uzinzi yatishia kuvunja ndoa ya Kaparo – Taifa Leo

Madai ya uzinzi yatishia kuvunja ndoa ya Kaparo

Na SIMON CIURI

MADAI ya uzinzi yatishia kuvunja ndoa ya aliyekuwa spika wa Bunge, Francis Kaparo.

Mkewe ambaye wameishi pamoja kwa kipindi cha miaka 40 ameenda kortini kudai talaka akisema kuwa Bw Kaparo amekuwa akiishi na mwanamke mwingine katika Kaunti ya Kiambu. Kesi hiyo iliwasilishwa korini mnamo 2019.

Itatajwa tena Mei 17, 2022.