Connect with us

General News

Mbivu na mbichi kujulikana leo duru ya Guru Nanak Rally msimu unapotamatika – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Mbivu na mbichi kujulikana leo duru ya Guru Nanak Rally msimu unapotamatika – Taifa Leo

Mbivu na mbichi kujulikana leo duru ya Guru Nanak Rally msimu unapotamatika

Na GEOFFREY ANENE

BINGWA mara tano wa duru ya KCB Guru Nanak Rally, Carl ‘Flash’ Tundo, atatumai kukamilisha Mbio za Magari za Kitaifa nchini (KNRC) kwa kishindo wakati wa duru hiyo katika Kaunti ya Kajiado, leo.

Bingwa huyo wa zamani wa kitaifa, na Guru Nanak 2011, 2012, 2017, 2018 na 2020 – anahitaji kumaliza mbio za leo za kilomita 154 katika nafasi nane za kwanza ili kumpokonya Baldev Chager taji la kitaifa la 2019.

Tundo atashirikiana na mwelekezi wake Tim Jessop katika gari la Volkswagen Polo R5. Anaongoza jedwali kwa alama 166. Chager ana alama 141 na lazima ashinde leo naye Tundo amalize nje ya nane-bora ili ahifadhi KNRC. Jumla ya madereva 20 watashiriki mbio hizi za Kajiado.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending