Connect with us

General News

Moto mkubwa wazuka katika Mombasa Hospital, uokozi unaendelea ▷ Kenya News

Published

on

[ad_1]

Moto mkubwa umeripotiwa kuteketeza hospitali ya Mombasa huku wazima moto wakibidiika katika kuuzima moto huo

Shughuli za kuwanusuru wagonjwa zinaendelea katika hospitali hiyo ambayo iko na zaidi ya vitanda 125 za wagonjwa.

Hata hivyo, hakuna vifo wala majeruhi wameripotiwa kutokana na mkasa huo ambao pia chanzo chake bado hakijabainika.

Taarifa zaidi kufuata…

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending