[ad_1]
Mshukiwa ambaye alichomoa pingu na kuhepa polisi asakwa
NA KALUME KAZUNGU
KIOJA kilishuhudiwa kisiwani Lamu jana Jumatano pale mshukiwa alipochomoa mkono wake kutoka kwa pingu za polisi na kutoroka.
Mohamed Yusuf, 23, alikuwa kwenye kundi la wafungwa wengine waliokuwa wakisindikizwa na polisi kutoka gereza la Hindi kuelekea Mahakama ya Lamu.
Alitarajiwa kushtakiwa kwa madai ya kumvamia, kumpiga na kumdhuru mtu.
[ad_2]
Source link