Connect with us

General News

Mtangazaji Jane Ngoiri asherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe ▷ Kenya News

Published

on

[ad_1]

Mtangazaj maarufu wa runinga ya NTV, Jane Ngoiri amesherehekea siku ya kuzaliwa ya mwanawe kwa njia ya kipekee

Ngoiri alimsukuru Mungu kupitia mitandao ya kijamii kwa kumzawadi mtoto huyo miaka minne iliyopita.

” Ni juzi tu ambapo ulizaliwa na nilikuwa na tatizo la kukunyonyesha , kwa sasa nashangaa tunaketi kwenye meza moja tukipiga gumzo tukila, Miaka minee sasa imepita na namshukuru Mungu kwa kunibariki na zawadi hii, nakupenda sana mwanangu,” Alisema Ngoiri.

Ngoiri alisema anampenda mwanawe kupindukia na hakuna siku atakosa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake.

Mashabiki wake tayari wamemtakia mwanawe heri njema na wametumia jumbe za kumtakia maisha marefu.



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending