Connect with us

General News

Museo aghairi nia, sasa kutetea cheo chake uchaguzini – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Museo aghairi nia, sasa kutetea cheo chake uchaguzini – Taifa Leo

Museo aghairi nia, sasa kutetea cheo chake uchaguzini

NA KENYA NEWS AGENCY

MWAKILISHI wa Wanawake katika Kaunti ya Makueni, Bi Rose Museo, ametangaza kwamba atatetea kiti chake kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti.

Bi Museo, ambaye awali alikuwa akilenga kuwania ugavana, alisema alibadilisha msimamo wake baada ya kufanya mashauriano na kiongozi wa chama cha Wiper, Bw Kalonzo Musyoka.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Trending