Connect with us

General News

Mwanamuziki staaMuigai wa Njoroge atakiwa kufika mbele ya tume ya NCIC

Published

on

[ad_1]

Mwanamuziki wa nyimbo za aina ya Benga Muigai wa Njoroge ametakiwa kufika mbele ya Tume ya Uwiano na Utangamano, (NCIC) kujibu maswali kadhaa kuhusu wimbo wake mpya ‘Ino Migunda’

Kupitia kwenye barua aloandikiwa mwanamuziki huyo, baadhi ya mistari kwenye wimbo huo ni ya kutishia na yenye matusi ambayo inaathiri sana baadhi ya jamii za humu nchini.

Habari Nyingine: Kimunya ampongeza Uhuru kwa kumpa wadhifa wa Kiongozi wa Wengi bungeni

Muigai ambaye ni kipenzi cha wengi, anatarajiwa kufika mbele ya tume hiyo Juni 26.

Muigai ambaye ni kipenzi cha wengi, anatarajiwa kufika mbele ya tume hiyo Juni 26.
Source: UGC

Habari Nyingine: Wabunge wa Jubilee wazuiwa kuingia na simu kwenye mkutano wa Rais Uhuru KICC

Muigai ambaye ni kipenzi cha wengi, anatarajiwa kufika mbele ya tume hiyo Juni 26.

Wimbo wake Muigai ulizinduliwa rasmi Juni mwaka huu na tayari umepokelewa na zaidi ya watazamaji laki sita.

Kwenye wimbo huo, Muigai anadai kuwa wapiganiaji wa uhuru walifanya kila wawezalo kuhakikisha Wakenya wanapata mashamba ila yamenyakuliwa na viongozi walafi.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos



[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending