Gavana Mike Sonko na Rais Uhuru Kenyatta katika picha ya awali. Sonko alimtaka Uhuru kuwa akivaa maski kipindi hiki cha coronavirus. Picha: Mike Sonko Source: Facebook
Video hiyo ya Rais akiwasalimia wakazi wa Nairobi, ambayo Sonko alichapisha kwenye ukurasa wake wa Facebook, ilizua hisia mseto pia.
Baadhi ya wananchi walisikaka wakisema Rais alikuwa amepata kileo kulingana na walivyomuona.
Haya hapa baadhi ya maoni kwenye video hiyo ya Sonko mtandaoni
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.