SHULE ya sekondari ya Shibanga iliyoko Kaunti Ndogo ya Butere, Kakamega iling’aa kwenye mtihani wa KCSE 2021 baada ya kutajwa miongoni mwa shule kumi za kiwango cha kaunti zilizoimarika zaidi katika matokeo yaliyotanagzwa na Waziri wa Elimu, Prof George Magoha.
Shule hiyo iliibuka ya tano bora kwa kiwango cha kaunti kwenye mtihani huo.