” Julai 7, 1995, msichana mrembo mwenye talanta ya kuimba, mwenye mapenzi tele na mpenda wiski alizaliwa, asante kwa uhai Mola wangu na hebu nizidi kubarikiwa,” Alisema Tanasha.
Maelfu ya mashabiki wake wamemtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa kupitia jumbe kadhaa mitandaoni.
TUKO.co.ke iliweza kuangazia baadhi ya picha za Tanasha akiwa amevalia mavazi ya kihindi na kwa kweli anapendeza kupindukia, zitazame;