Leo Oloo ambaye alipatikana akiwa amefariki. Picha: Leah Oloo Source: Facebook
Familia ya Leah ilisema wawili hao walikuwa na mzozo wa kinyumbani na alitaka kuondoka kwenye ndoa hiyo.
Wawili hao walikuwa kwenye ndoa kwa miaka mitatu lakini hawakuwa wamejaaliwa mtoto.
Dadake Leah aliambia runinga ya Citizen kuwa dadake alifungiwa ndani ya nyumba siku hiyo kabla ya kupatikana amefariki na hata alikuwa amejirekodi akiwa chumbani na kumtumia dadake akimwarifu masaibu anayopitia.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.