Marafiki zake Mathenge Mukundi walisema ni rastaman mwenye makali kisheria. Picha: Standard Source: Facebook
Rangi zao husimamia maisha ya mwanadamu ambapo kijani kibichi ni utajiri wa mathari ambayo mwenyezi mungu alimpa binadamu, njano husimamia utajiri wa Afrika haswa dhahabu.
Nayo rangi nyekundu husimamia damu iliyomwagika ya mashujaa wa kundi hilo ambao walifariki wakipigania uhuru na haki.
Muungano wa wasiomwamini Mungu ulikuwa baadhi ya wale waliompa heko Mathenge wakisema wanaunga mkono uhuru wa kuabudu.
Habari Nyingine:
Wanamtandao walitamani siku moja wawe mahakamani wakati ambapo Mathenge anawawakilisha wateja wateja wake.
“Apuondem rasta man!!! De graduashun fidem finuo bwa bwa…. wagwan puondeee BAR!!! Only rasta man who smokes hardquo ganja from Jamiaaca understands dat.Bomboclan!!!” mmoja aliandika mtandaoni kuhusu kikao cha Mathenge mahakamani
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.