Connect with us

General News

Wavinya Ndeti ajiuzulu kazi serikalini kuwinda kiti cha ugavana Machakos – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Wavinya Ndeti ajiuzulu kazi serikalini kuwinda kiti cha ugavana Machakos – Taifa Leo

Wavinya Ndeti ajiuzulu kazi serikalini kuwinda kiti cha ugavana Machakos

Na WANGU KANURI

WAZIRI Msaidizi wa Uchukuzi Bi Wavinya Ndeti amejiuzulu ili ajitose rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kiti cha ugavana katika Kaunti ya Machakos.

Akizungumza na wanahabari Ijumaa, Bi Ndeti amesema kuwa anaelewa changamoto ambazo watu wa Machakos wamekuwa wakipitia ndiposa lengo lake ni kuhakikisha kuwa Machakos imeimarika kwa uongozi na kiuchumi.

“Maono yangu ni kuwawezesha watu katika kaunti ya Machakos kutumia rasilimali asili na za kubuni kikamilifu katika eneo hilo,” akasema.

Vile vile, Bi Ndeti amemshukuru Rais Uhuru Kenyatta kwa kumpa fursa kuwatumikia Wakenya na kuwasaidia kupata huduma bora za uchukuzi.

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending