Connect with us

General News

Wanaosingiziwa uchawi wahangaika mmiliki hifadhi akitaka kuuza shamba – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Wanaosingiziwa uchawi wahangaika mmiliki hifadhi akitaka kuuza shamba – Taifa Leo

Kaya Godhoma: Wanaosingiziwa uchawi wahangaika mmiliki hifadhi akitaka kuuza shamba

NA MAUREEN ONGALA

MWENYEKITI wa kituo cha kuhifadhi watu wanaosingiziwa kuwa ni wachawi cha Kaya Godhoma katika lokesheni ya Mrima wa Ndege, eneobunge la Ganze Bw Emmanuel Katana ameelezea hofu yake kuhusu usalama wa wazee hao baada ya familia iliyowapa sehemu hiyo kuwaamrisha ama waondoke au wanunue kipande hicho cha ardhi.

 

[ad_2]

Source link

Comments

comments

Facebook

Trending