[ad_1] TAHARIRI: Tubadili mtindo wa kudumisha amani uchaguzi unapokaribia NA MHARIRI HUKU Kenya inapojiandaa kwa Uchaguzi Mkuu ujao ulioratibiwa kufanyika Agosti, mojawapo ya masuala makuu yanayoendelea...
[ad_1] Mulembe wapongeza Mudavadi, Weta’ NA BRIAN OJAMAA WAKAZI na viongozi kutoka eneo la Magharibi wamepongeza kiongozi wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi na mwenzake...
[ad_1] Mvuvi afariki Lamu mawimbi makali yakiendelea kuyumbisha vyombo vya baharini NA KALUME KAZUNGU MVUVI mmoja amefariki na wengine wawili kunusurika kifo pale mashua walimokuwa wakisafiria...
[ad_1] Obiri atupia jicho mbio za mita 5000 baada ya kutamba Northern Ireland Na GEOFFREY ANENE BINGWA wa Mbio za Nyika za Dunia 2019 Hellen Obiri...
[ad_1] Kocha Alumirah aahidi kuiongoza Harambee Starlets kufuzu fainali za AWCON Na JOHN KIMWERE KOCHA mpya wa Harambee Starlets, Alex Alumirah amedokeza kuwa atatia bidii kuhakikisha...
[ad_1] MAPISHI KIKWETU: Jinsi ya kuandaa ‘chipsi’ za mihogo Na MARGARET MAINA [email protected] MUHOGO ni zao la pili kuwa na wanga mwingi baada ya viazi vitamu....
[ad_1] AFCON: Cameroon kukutana na Gambia kwenye robo-fainali baada ya kung’oa Comoros Na MASHIRIKA WENYEJI Cameroon sasa watakutana na Gambia katika robo-fainali ya Kombe la Afrika...
[ad_1] Mwalimu kortini kwa kudai kinara wa TSC amefariki Na RICHARD MUNGUTI MWALIMU wa shule ya msingi alishtakiwa Jumatatu kwa kutuma habari za uwongo katika mtandao...
[ad_1] Ndoa mpya yatatiza mahesabu ya Ruto Na BENSON MATHEKA NDOA ya kisiasa kati vyama vya Amani National Congress (ANC) na United Democratic Alliance (UDA), huenda...
[ad_1] CHARLES WASONGA: Sheria zilizoko zitumiwe kudhibiti sekta ya biashara za vyuma vikuu Na CHARLES WASONGA HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta ya kuzima biashara ya vyuma...