“NAWATAKIA KHERI KWENYE NDOA YENU, NA WALE WA INSTAGRAM WANAOSEMA MTAACHANA, WABAKI WANADHALILIKA WAO SISI TUBAKI TUNACHELEA
NA SIKU NYINGINE TUPATANE SEHEMU KAMA HII KUSHEREHEKEA MIAKA INAVYOENDELEA KUSONGA.
WATU WENGI KWENYE WASAFI TUKO SINGLE KWA HIVYO MSISITE TUJUANE,TUFAHAMIANE.’