Connect with us

General News

Viongozi wasutwa kukosa kikao cha Jumuia ya Pwani – Taifa Leo

Published

on

[ad_1]

Viongozi wasutwa kukosa kikao cha Jumuia ya Pwani – Taifa Leo

Viongozi wasutwa kukosa kikao cha Jumuia ya Pwani

Na ANTHONY KITIMO

WANASIASA wa Pwani wamekashifiwa kwa kutohudhuria kongamano la Jumuiya ya Pwani lililofanyika jana katika Kaunti ya Kwale.

Gavana wa Tana River, Bw Dhadho Godhana (pichani) pekee ndiye kiongozi wa kisiasa aliyekuwepo. Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga aliyetarajiwa kuhudhuria, alihutubia kikao kupitia kwa mtandao akiwa Nairobi.