Friday, 2 October 2026
Kenyan Digest

Walimu Nyeri wataka usaidizi kugharamia matibabu yao

1 min read
Published 26 April 2019

Walimu wa chama cha KUPPET Nyeri, wanatishia kutoenda kazini wiki ijayo. Wanadai kuwa, matibabu yao hayagharamiwi ilhali wameajiriwa na serikali.
source